Thursday, 18 February 2016

Thursday, 10 September 2015

Monday, 7 September 2015

MAKEUPS/VIPODOZI

Leo tutaangalia jinsi ya kupaka makeup au kuremba uso wako ili kuwa na mvuto. kuna aina mbalimbali ya jinsi ya kupamba uso mfano, kupamba kwa ajili ya sherehe maalum kama vile, harusi, kitchen party, sendoff: kupamba kwa ajili ya kwenda ofisini, kujipamba kwa ajili ya kukaa tu nyumbani na vingine vingi. ukiwa kama mtoto wa kike au mwanamke ni vizuri muda wote kuonekana nadhifu na mwenye mvuto kuanzia mavazi mpaka uso.

Leo tutaangalia jinsi ya kujipaka makeup / kipodozi kwa wale wanaoanza au ambao wangependa kuanza kuifunza makeup (Beginers). Baada ya kuangalia video hii naamini utakuwa umejifunza vya kutosha na kujua ni ainagani ya makeup au kipodozi ukipaka kitakupa muonekano wa tukio husika. ENJOY!



Sunday, 6 September 2015

OFFICE WEAR TO ROCK THIS WEEK






FASHION TREND OF THE WEEK














THE NEW HEADER TREND


Wengi tumezoea kuona wakina dada wakijifunga GELE, au Nigerian style hasa hasa katika sherehe mbalimbali. Leo nawaletea mtindo mpya kabisa wa kufunga Ggere au kwa lugha ya kigeni wanaita HEADER. Kwa dtyle hii gele inafungwa kiupande upande na sio kwa katikati kama tulivyozoea.

Here is a new headgear trend we have noticed and trust us to bring it your way, the concept about this headgear is that the design comes to the side, instead of the usual top design we are used. It is very beautiful and innovative.





 
Leo sitoongelea sana kuhusu upambaji wa nje wa mazingira ya nyumba zetu, hususani katika Africa ila hata kwa walio nje ya nchi pia wanaweza wakapamba kulingana na mazingira yao pia. hivyo nitatuma picha tu ili upate idea.