Sunday, 21 June 2015

Faida na matumizi ya  Mafuta ya Nyonyo (castor Oil)?

Habari mpenzi msomaji.
Leo tuyakumbuke haya mafuta mazuri mno, ya nyonyo. hii ni kwa sababu nimekuwa nikiahangaika sana kuona jinsi gani ngozi yangu itakuwa soft na nywele zangu kurefuka.

Wengi tunaoyafahamu haya mafuta tunayajua kwa kazi yake kwenye kutatua tatizo la kutopata choo; yanafanya kazi vizuri tu nyanja hiyo.

Mafuta ya Nyonyo katika Kukuza Nywele

Mafuta ya nyonyo yanakuza nywele haraka, ukiyapasha joto kidogo kabla ya kupaka, kisha unapaka kwenye ngozi ya kichwa na kuyatawanya vizuri katika ngozi taratibu kama una massage kichwa chako pia bila kupasha kule kumassage kunayongezea joto linayoyapa uwezo wa kupenya vizuri. Unapopaka na kutawanya vizuri unasaidia kuongeza mzunguko wa damu kichwani hivyo virutubisho vinavyoletwa na damu kukuza nywele zako vinafika kwa utoshelevu.  Mafuta haya yana virutubisho mbali mbali ikiwemo Omega 6 fatty acids ambazo huongeza virutubisho vinavyoleta afya katika nywele zako.

Iwapo unataka utumie kama conditioner basi ukimaliza kupaka  kwenye ngozi paka katika ncha zako pia kisha vaa kikofia cha plastiki kisha baadae uzioshe nywele zako vizuri kuondoa mafuta kwa kuwa ulipaka mengi kama conditioner.
Mafuta ya nyonyo ni mazito sana, iwapo utaona una nywele nyepesi na hutaki ziligee kwa uzito wa mafuta pale unapopaka basi changanya na mafuta mengine hasa mafuta ya nazi kwa uwiano wa 1:1.
 
Image result for natural hair afro

Mafuta ya nyonyo yanatibu mba na matatizo mengine ya ngozi ya kichwa.

Mafuta haya huwa na sifa ya kuwa na uwezo wa kuua bacteria na fangasi ambao huweza kuleta matatizo yanayosababishwa na vimelea hivi ikiwemo mba.

Iwapo una nywele kavu na una mba basi changanya mafuta ya nyonyo na ya mzaituni kidogo kisha paka kichwani pako kwa mfululizo mpaka shida yako ipungue au iishe.

Iwapo una mba na nywele zina mafuta mengi basi changanya hivi: kijiko kimoja kimoja cha mafuta ya nyonyo, asali na ute ute wa aloevera na maji ya nusu limao. Paka kwenye mizizi ya nywele yani kwenye ngozi kaa nayo dakika 30 kisha osha mchanganiko utoke kwenye nywele yako.
Pamoja na kutibu mba michanganyiko hii hurutubisha nywele na kufanya zing'ae.

Yanajaza nywele Zako

Mafuta ya nyonyo yana omega 6 na omega 9 acids ambazo ni virutubisho vinavyosaidia katika afya ya nywele yako. Ukitumia mara kwa mara mafuta ya nyonyo yanasaidia kuotesha nywele na kuzipa nguvu(kuzinenepesha) nywele zako ambazo tayari ni ndefu.

Unaweza kutumia kama conditioner 

Unapaka na kuvaa plastiki kisha unaosha, unaweza kulala nayo kichwani mpaka asubuhi. Pia unaweza kuchanganya na conditioner au steaming yako unayotumia.

Yanarudisha mng'ao wa nywele zako

Iwapo utayachanganyana mafuta mengine au utayatumia yenyewe yana virutubisho vinavyoiacha nywele yako iking'aa.

Iwapo unasumbuliwa na ncha za nywele zako hii ni dawa

paka mafuta ya nyonyo kabla ya kuosha nywele zako na shampoo, shampoo inamaliza baadhi ya mafuta ya asili kwenye nywele na kukupa ncha kavu zinazosababisha kuchomoka nywele zako unapochana.

Yanasadia kutibu chunusi

Haya mafuta yana kiungo chenye uwezo wa kuua bacteria wanaosababisha chunusi.
Image result for african soft facial skin

Pishana na uzee kwa mafuta ya nyonyo

Yanasaidia kuondoa vikunyanzi vidogo vidogo usoni vinavyotokea kwenye ngozi ya watu wenye umri mkubwa. Imeonekana mafuta haya ya kirutubisho kinachosadia kubalance collagen katika ngozi yako, collagen ndio kirutubisho kinachotunza ngozi ya ujana.

Kuza kope na nyusi kwa mafuta ya nyonyo

Inasemekana yamekuwa na mafanikio pia katika kukuza/kujaza kope na nyusi.

kupaka machoni

Upatikanaji wake

Mafuta ya nyonyo yapo yanayochujwa kwa njia ya kawaida kama ya nazi, mbegu za nyonyo hupondwa na kupikwa. Kuna haya maarufu kama 'Jamaican Castor Oil' haya huandaliwa kwa kukaanga kwanza zile mbegu kisha yanachujwa hivyo hutoka meusi. ni vema upate yaliyoandaliwa kiasili yasiwe super refined au yameongezewa kemikali.
mmea wake( mti wa nyonyo)

mbegu za nyonyo(castor beans/seeds)

Tahadhali

Mafuta ya nyonyo yana harufu kali hivyo unaweza kuchanganya na kitu kingine kama mdalasini au mafuta mengine kupunguza harufu.

All the Best dears. ukifanikiwa, usisite kutushirikisha matokeo ya mafuta haya tafadhali

49 comments:

  1. Nataka nimake order ya mafuta kopo moja nipo udsm main campus. Naomba muhusika anitext watsup 0717702572

    ReplyDelete
    Replies
    1. *MAAJABU* *YA* *MAFUTA* *ASILI* *YA* *MTI* *WA* *MNYONYO* *(CASTOR OIL ). Ni Mafuta Ya Asili *_yaliyoshika umaarufu mkubwa Duniani kutokana na nguvu yake kubwa inayofanya kazi katika mwili wa mwanadamu kuliko mafuta mengne yoyote Duniani!! Mafuta ya Asili ya mti wa Mnyonyo (CASTOROIL) hufanya yafuatayo katika mwili::;
      1: Hutibu fangasi sugu wa aina zote kwa siku tatu
      2: Huondoa makovu na michirizi ndani ya wiki mbili
      3: Hukuza nywele, kusafisha kichwa, kuondoa MBA sugu na kurejesha Afya ya Nywele
      4: Huondoa kipara kwa kujaza nywele na kuzirefusha ndani ya mwezi mmoja
      5: Hutibu U.T.I sugu pamoja na kuondoa gesi tumboni kwa mda cku nne
      6: Husaidia katika kupanga uzazi kwa akina mama bila kutumia njia za kisasa ambazo nyingi zina madhara
      7: Hutibu saratani ya ngozi pamoja na mkanda wa jeshi
      8: Hutibu matatzo yote ya ngozi
      9: Hutibu matatizo ya hedhi kwa akina dada na akina mama
      10: Huondoa mikunjo ya ya ngozi usoni inayomfanya mtu kuonekana mzee,na badala yake huifanya ngozi kuwa nyororo na ya kuvutia
      11: Ni mafuta mazuri kwa watoto wachanga kwa sababu yana Antibiotic-Asili ya kuua vimelea vya magonjwa
      12: Hutibu vidonda vya kuungua kwa moto na aina zote za vidonda sugu katika mwili
      13: Hutibu tatizo la (joint fluid) kuuma kwa joint za mwili kwa kujaa maji pamoja na maumivu
      14: Hutibu kuteguka kwa Mifupa,kuuma kwa baadhi ya sehemu za mwili pamoja na vichomi vya aina zote!!!

      NB!! Mafuta Asili ya mnyonyo(Castor oil) ni yale ambayo hayajapita kiwandani wala kuongezewa kemikali yoyote,tumia yaliyoandaliwa kwa njia za asili zaidi na tatizo lako litakwisha!!!

      NB:: Matumiz ya mafuta haya ni mengi na ni zaid ya yaliyotajwa hapo juu!! Kwa Sababu Dunia yetu hii ni kama kijiji kimoja, mambo yote yapo mtandaoni!! Ingia Google andika" MAFUTA YA MNYONYO" utaona kila kitu!! Kwa uhitaj wa Mafuta haya unaweza kututafta kwa 0621399120 au 0784758836 TUPO CHUO CHA MIPANGO DODOMA!!

      Delete
    2. Yanatengenezwaje kwa asili?

      Delete
    3. Matumizi yake yakoje katika kutibu U.T.I na kupanga uzazi?

      Delete
  2. Ukihitaji mafuta haya 0652436216
    Instance: black_Castor_oil_tanzania uyapate kwa bei nzuri kabisa

    ReplyDelete
  3. Naitaji watu niwawezeshe jinsi ya kupata pesa kwa njia ya mtandao inayoitwa forex ambapo inafaniywa na mabenki,hii siyo blabla unatakiwa kuwa na simu,kompiuta tu,kianzio cha kuanza nayo aya sh 25000 elfu ishirin na tano lakini wewe ukapata sh10000 kila siku,ukipenda nitafute kwa namba 0675348266

    ReplyDelete
  4. https://t.me/joinchat/AAAAAE6uq_1ggcjBD7KwkQ
    Jiunge kwenye group iyoo fasts

    ReplyDelete
  5. https://chat.whatsapp.com/ELxHcMIcGTiArLRwNaxH3H

    ReplyDelete
  6. https://chat.whatsapp.com/ELxHcMIcGTiArLRwNaxH3H
    Jiunge na group yetu uone forex inavyokua au piga 0675348266

    ReplyDelete
  7. Ninashida na mafuta hayo ya nyonyo lakini nipo morogoro sijui nitaweza kuyapata vipi?

    ReplyDelete
    Replies
    1. Njoo whatsap 0672082234

      Delete
    2. Kwa maitaji ya mafuta ya mnyonyo pure castor oil watsap no 0713343080 popote ulipo unatumiwa tunafanya derivery mpaka nje ya nchi

      Delete
  8. Kwa uhitaji wa mafuta haya tupigie kwa namba hizi 0675703224/0767608909

    ReplyDelete
  9. Kwa mahitaji ya mafuta ya nyonyo nipigie namba 0676692082 au 0742366313 napatikana mbeya

    ReplyDelete
  10. Sasa mafuta meusi ndio mazuri au? Maana umesema mengine yanaitwa jamaica Castor Oil

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kwa black Castor oil, njoo uchukue tunapatkana dodoma hpa, 0621399120 au 0784758836

      Delete
  11. nahitaji kujifunza namna ya kuyatengeneza haya mafuta

    ReplyDelete
  12. *MAAJABU* *YA* *MAFUTA* *ASILI* *YA* *MTI* *WA* *MNYONYO* *(CASTOR OIL ). Ni Mafuta Ya Asili *_yaliyoshika umaarufu mkubwa Duniani kutokana na nguvu yake kubwa inayofanya kazi katika mwili wa mwanadamu kuliko mafuta mengne yoyote Duniani!! Mafuta ya Asili ya mti wa Mnyonyo (CASTOROIL) hufanya yafuatayo katika mwili::;
    1: Hutibu fangasi sugu wa aina zote kwa siku tatu
    2: Huondoa makovu na michirizi ndani ya wiki mbili
    3: Hukuza nywele, kusafisha kichwa, kuondoa MBA sugu na kurejesha Afya ya Nywele
    4: Huondoa kipara kwa kujaza nywele na kuzirefusha ndani ya mwezi mmoja
    5: Hutibu U.T.I sugu pamoja na kuondoa gesi tumboni kwa mda cku nne
    6: Husaidia katika kupanga uzazi kwa akina mama bila kutumia njia za kisasa ambazo nyingi zina madhara
    7: Hutibu saratani ya ngozi pamoja na mkanda wa jeshi
    8: Hutibu matatzo yote ya ngozi
    9: Hutibu matatizo ya hedhi kwa akina dada na akina mama
    10: Huondoa mikunjo ya ya ngozi usoni inayomfanya mtu kuonekana mzee,na badala yake huifanya ngozi kuwa nyororo na ya kuvutia
    11: Ni mafuta mazuri kwa watoto wachanga kwa sababu yana Antibiotic-Asili ya kuua vimelea vya magonjwa
    12: Hutibu vidonda vya kuungua kwa moto na aina zote za vidonda sugu katika mwili
    13: Hutibu tatizo la (joint fluid) kuuma kwa joint za mwili kwa kujaa maji pamoja na maumivu
    14: Hutibu kuteguka kwa Mifupa,kuuma kwa baadhi ya sehemu za mwili pamoja na vichomi vya aina zote!!!

    NB!! Mafuta Asili ya mnyonyo(Castor oil) ni yale ambayo hayajapita kiwandani wala kuongezewa kemikali yoyote,tumia yaliyoandaliwa kwa njia za asili zaidi na tatizo lako litakwisha!!!

    NB:: Matumiz ya mafuta haya ni mengi na ni zaid ya yaliyotajwa hapo juu!! Kwa Sababu Dunia yetu hii ni kama kijiji kimoja, mambo yote yapo mtandaoni!! Ingia Google andika" MAFUTA YA MNYONYO" utaona kila kitu!! Kwa uhitaj wa Mafuta haya unaweza kututafta kwa 0621399120 au 0784758836 TUPO CHUO CHA MIPANGO DODOMA!!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hello, natamani nijue inabu vipi UTI na kwenye Uzazi wa Mpango inakuwaje pia,
      Ili nifanye order

      Delete
    2. Kuna mbegu za mnyonyo unatumia moja ukimaliza p inazuia

      Delete
  13. Kwa mahitaji ya mafuta ya mnyonyo yalioandaliwa kiasili kabisa kwa ujazo tofauti tofauti wasiliana nasi tupo Dar es salaam pia tunamawakala mikoani
    Mawasiliano yetu:
    0672082234
    0621350992
    0759573528
    0623208418

    ReplyDelete
  14. Replies
    1. Njoo watsap 0672082234
      Bei rahis kwa jumla
      Chupa ya mls 120 ni 3000tzs
      Chupa ya mls 250 ni 7000tzs
      Chupa ya Lita 1 ni 25000tzs

      Delete
  15. Nipo mwanza nahitaji mafuta ya nyonyo

    ReplyDelete
    Replies
    1. waweza nitafuta kwa 0714036645 na 0757633657

      Delete
    2. Wakala wa kuuza mafuta ya mnyonyo mwanza;
      +255 765 968 945
      +255 623 193 823

      Delete
  16. Kwa wanaohitaji mafuta haya yakiwa katika hali ghafi (yaani hali yake ya asili baada ya kukamuliwa bila kuchanganywa na chochote kile cha ziada) anaweza kunipata kwa namba
    0714036645 na 0757633657
    Nipo Dar es Salaam, na wale mliopo Mwanza mnaweza kuyapata kw urahisi pia. Kwa walio mikoa tofauti mingine ninaweza kukutumia bila shida yoyote.

    ReplyDelete
  17. Habari umesema yanasaidia kupata choo unamaanisha unakunywa au inakuwaje naomba tuwasiliane 0622113371

    ReplyDelete
  18. Nna shida na ayo mafuta nipo DSM

    ReplyDelete
    Replies
    1. Nitafute 0659532998 mafuta yapo ya kutosha kwa Bei nafuu

      Delete
  19. Ninashida na Mafuta kwa jumla nipo Dar es salaam. WhatsApp 0692271229.

    ReplyDelete
  20. Kwa mahitaji ya mafuta ya nyonyo ambayo hayajaongezwa kitu mikoa yote...0628233003

    ReplyDelete
  21. Mahitaji ya mafuta ya nyonyo mbeya 0744014313
    Kwa mahitaji ya mafuta ya nyonyo dar
    0715825920

    ReplyDelete
  22. Kwa mahitaji ya mafuta castor oil nyeupe piga 0757268600..bei poa kabisa

    ReplyDelete
  23. Kwa wenye uhitaji was mafuta ya parachichi & nyonyo;

    Contact:
    Phone. :+255687984148
    :+255712128364
    Email. :realqualityproduct08@gmail.com
    Facebook: @realqualityproduct
    Google. :@realqualityproduct.

    ReplyDelete
  24. *MAAJABU* *YA* *MAFUTA* *ASILI* *YA* *MTI* *WA* *MNYONYO* *(CASTOR OIL ). Ni Mafuta Ya Asili *_yaliyoshika umaarufu mkubwa Duniani kutokana na nguvu yake kubwa inayofanya kazi katika mwili wa mwanadamu kuliko mafuta mengne yoyote Duniani!! Mafuta ya Asili ya mti wa Mnyonyo (CASTOROIL) hufanya yafuatayo katika mwili::;
    1: Hutibu fangasi sugu wa aina zote kwa siku tatu
    2: Huondoa makovu na michirizi ndani ya wiki mbili
    3: Hukuza nywele, kusafisha kichwa, kuondoa MBA sugu na kurejesha Afya ya Nywele
    4: Huondoa kipara kwa kujaza nywele na kuzirefusha ndani ya mwezi mmoja
    5: Hutibu U.T.I sugu pamoja na kuondoa gesi tumboni kwa mda cku nne
    6: Husaidia katika kupanga uzazi kwa akina mama bila kutumia njia za kisasa ambazo nyingi zina madhara
    7: Hutibu saratani ya ngozi pamoja na mkanda wa jeshi
    8: Hutibu matatzo yote ya ngozi
    9: Hutibu matatizo ya hedhi kwa akina dada na akina mama
    10: Huondoa mikunjo ya ya ngozi usoni inayomfanya mtu kuonekana mzee,na badala yake huifanya ngozi kuwa nyororo na ya kuvutia
    11: Ni mafuta mazuri kwa watoto wachanga kwa sababu yana Antibiotic-Asili ya kuua vimelea vya magonjwa
    12: Hutibu vidonda vya kuungua kwa moto na aina zote za vidonda sugu katika mwili
    13: Hutibu tatizo la (joint fluid) kuuma kwa joint za mwili kwa kujaa maji pamoja na maumivu
    14: Hutibu kuteguka kwa Mifupa,kuuma kwa baadhi ya sehemu za mwili pamoja na vichomi vya aina zote!!!

    NB!! Mafuta Asili ya mnyonyo(Castor oil) ni yale ambayo hayajapita kiwandani wala kuongezewa kemikali yoyote,tumia yaliyoandaliwa kwa njia za asili zaidi na tatizo lako litakwisha!!!

    NB:: Matumiz ya mafuta haya ni mengi na ni zaid ya yaliyotajwa hapo juu!! Kwa Sababu Dunia yetu hii ni kama kijiji kimoja, mambo yote yapo mtandaoni!! Ingia Google andika" MAFUTA YA MNYONYO" utaona kila kitu!! Kwa uhitaj wa Mafuta haya unaweza kututafta kwa 0621399120 au 0784758836 TUPO CHUO CHA MIPANGO DODOMA!!

    ReplyDelete
  25. ® Kwa wenye uhitaji wa mafuta ya Mnyonyo & Parachichi

    Contacts;
    Phone:+255687984148
    :+255712128364

    Email :realqualityproduct08@gmail.com
    Facebook: @realqualityproduct
    Google:@realqualityproduct

    Tunakuletea popote (free delivery)ndani ya mkoa wa Dar ea salaam,pia nje ya Dar es salaam tunatuma Kwa kuchangia gharama kidogo za usafiri

    ReplyDelete
  26. Mafuta ya manyonyo yanatibu na bawasiri bila shida yoyote. KWA WANAOITAJI KUFANYIWA FINISHING YA NYUMBA SKIMMING NA RANGI ZA KISASA NICHEK INSTAGRAM @Davoo_Construction NA NO ZETU 0787776834 0716862153 BEI ZETU NI NAFUU

    ReplyDelete
  27. Dares salam nayapata wapi

    ReplyDelete
  28. Yanatoa kipara?

    ReplyDelete
  29. Nahitaji mafuta ya mnyonyo 0742314127

    ReplyDelete
  30. Singida wakala yupo au vip jamn

    ReplyDelete
  31. Great and that i have a neat supply: What Home Renovation Expenses Are Tax Deductible log home restoration near me

    ReplyDelete