Monday, 7 September 2015

MAKEUPS/VIPODOZI

Leo tutaangalia jinsi ya kupaka makeup au kuremba uso wako ili kuwa na mvuto. kuna aina mbalimbali ya jinsi ya kupamba uso mfano, kupamba kwa ajili ya sherehe maalum kama vile, harusi, kitchen party, sendoff: kupamba kwa ajili ya kwenda ofisini, kujipamba kwa ajili ya kukaa tu nyumbani na vingine vingi. ukiwa kama mtoto wa kike au mwanamke ni vizuri muda wote kuonekana nadhifu na mwenye mvuto kuanzia mavazi mpaka uso.

Leo tutaangalia jinsi ya kujipaka makeup / kipodozi kwa wale wanaoanza au ambao wangependa kuanza kuifunza makeup (Beginers). Baada ya kuangalia video hii naamini utakuwa umejifunza vya kutosha na kujua ni ainagani ya makeup au kipodozi ukipaka kitakupa muonekano wa tukio husika. ENJOY!