Saturday, 8 August 2015

TIPS FOR PLUS SIZE FASHIONISTAS

Mara nyingi unakuta wadada wanene au kwa jina lingine plus size hawako huru na maumbo yao. hii ni kutokana na kwa baadhi yao kutopendeza wakivaa nguo flani. kwanini hupendezi

1. hujafanya uchaguzi sahihi wa nguo zako

2. wengi wao wakiona flani amependeza nao watataka wakavae nguo kama ileile wakifikiri na wao itawapendeza pasipo kuzingatia maumbo yao

3. kutojiamini na umbo lako au jinsi vile ulivyoumbwa

unaweza kukuta wakinadada wengi hawapo nadhifu hususani katika suala la mavazi kwa kisingizio hakuna nguo inayowapendeza. ikumbukwe kuwa wewe pekee ndiye mmiliki wa mwili wako hivyo unajukumu la kuhakikisha kuwa unatafutia mwili wako nguo itakayokukaa vizuri. katika uchaguzi wa nguo zako, epuka kuvaa nguo za kukubana sana, kama ambavyo nimekuonyesha katika picha hizi.






nguo zisizoonyesha kitambi.




wenye vitambi vyao, lakini hapa kama vile hana kitambi. chagua nguo inayoendana na umbo lako




kuna wale wanaojifanya wanapenda kuvaa madera eti kisa hawana shepu nzuri. shepu yoyote ukivaa nguo nzuri unapendeza tu, ilimradi uvae nguo inayoendana na umbo lako

Kkatika kuchagua Blauzi za kuvaa kama nguo ya chini umevaa ya kukubana, jitahidi ya juu isikubane ili kuepuka kuonekana kuwa kituko



Hii Pia inafaa kwa Casual au Official kwa zile office zinazoruhusu kuvaa jeans kazini.

Casual outfit



No comments:

Post a Comment